Shirika la Wageindicator na washirika wake watafiti wanapenda kukualika ushiriki utafiti huu wa Maisha na ufanyaji kazi kipindi cha corona. Matokeo ya kila siku ya utafiti huu yanapatikana kwenye ramani na grafu
Mywage.org/Tanzania-sw
Kusambaa kwa virusi vya corona kunaleta changamoto kwa waajiri na waajiriwa. Zitambue haki zako ili uweze kuzidai zitakapo hitajika.
loading...