Mapumziko ya Kunyonyesha

This page was last updated on: 2021-01-20

Mapumziko ya Kunyonyesha

Kwa Mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, mfanyakazi wa kike ana haki ya mapumziko ya kunyonyesha ya hadi masaa 2 kwa siku.

Chanzo: § ya 33 ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini , 2004

loading...
Loading...